Msaada shule nzuri za Secondary zenye Ada nafuu za Seminary

Ingia Google andika shule za sekondari private kwa mkoa uutakao zitakuja zote za details zake ikiwemo mawasiliano na fee structure.
St. Francis Mbeya ni the best fuatilia utaratibu wa kuipata. Na kama utataka mkoa tofauti ningekushauri Kahama mkoa wa shinyanga Kuna secondary ya wakatoliki inaitwa Queen of Family ni nzuri sana binti yangu amemaliza mwaka Jana akapata A masomo yote na amepata scholarship Canada.
Nzuri kitaaluma na kimaadili pia, Ada ni hapo hapo milioni tatu kasoro kwa mwaka.
 
Ahsante kipenzii barikiwa mnooo ngoja nigoogle !na hongera kwa binti yetu
 
Habari zenu naomba kujuzwa shule nzuri zenye Ada za tozo kidogo kwa mikoa ya Kilimanjaro na Mbeya specifically shule za Seminary haswaa wakatoliki.

Kwa mwenye kujua hizo shule naomba msaada tafadhali.

Ada walau kuanzia 1.5 to 3m hivi.

Ahsànteni
Msomi ni ke au me?
 
St mary ulete ipo karibu na ifunda iringa chini ya kanisa katoliki.ada nafuu sana na sasa hivi wanatoa fomu
 
Ahsanteee fomu napataje Broo?...maana mtandaoni mmekosa..ni nzuri na ipo kwenye top five zangu hyoo...pia!

Maana mpk mda huu nna huruma Seminary Dom,St.marys ulete,anwarite nyingine ndo natafuta Moshi hukoo
 
Ingia ktk website yao kesho chukua contact zao wapigie mbona maisha mepesi zaidi
 
St marys ulete iringa asome hapo dogo uhakika Bei nafuu mno elimu ya uhakika pia St Francis mbeya Hawa kiboko balaa lake Nadhani hua unalisikia matokeo yakitoka
 
Back
Top Bottom