Habar zenu wadau...naomba mnisaidie shule za boarding a level either mixed au za girls tupu ambazo ada zake ni nafuu (yaan ada isiyozd 2.5 m au 3m)
NB:mlengwa wa hyo shule ni dgo wa kike ana div 3.23 na ana credits za Histry,language,kiswahili na bios(masomo mengne ana d flat) na angependa kusoma kat ya hgl au cbg)
NATANGULIZA SHUKRAN