Msaada: Sehemu zenye "karaoke" Dar es Salaam


Njoo leo bulls park, ipo university road opposite na mlimani city villas,from saa 2 to saa 8 usiku
 
njoo tripple seven utanikutaa hapa kiwanjaa cha mapedesheeeeee wa mjini ukija hapa ukikosa wa kuondoka naye jua ww una nuksi tangu tumboni

Wabongo shida sana. Muanzisha thread anataka sehemu ya kustarehe kwa kuimba wewe unamwambia Mtu wa kutoka naye!!

Halafu Tripple 7 ni kiwanja cha Watu wote si mapedeshee. Ukiwa na Tshs.20,000 unapata coupon unaingia Club na kupewa bia nne au kinywaji chochote chenye thamani hiyo.
 
Hivi Kibo Lounge pia kuna karaoke?! Sijaja siku nyingi huko ila kuna uhaba wa totoz pale!

Kumbe wewe Mzee wa Totoz, zipo zipo kiasi chake ila kwa sasa nina "tatizo la macho" siwaoni vizuri ( cc atoto).
Karaoke ipo kila Jumatano. Wanachonifurahisha ni Choo kisafi, kaunta/viti poa. Pia bia zao nasikia tamuu!!!
 
Mkuu hii ni pesa ya Zimbabwe au ya wapi hii!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…