ni pm tafadhaliHabari wana JF, nahitaji kwa yeyote mwenye printer ya Hiti cs-320 au inayofanana nayo, au ni duka gani zinapatikana kwa hapa Dar? Nimeunganisha na picha kwa asiyeifahamu.
hauoni kwamba kama unazo ukiweka hapa hadharani utapata na wateja wengine?!!ni pm tafadhali
siko nayo mkononi ila naweza kumletea ndio maana nimemwambia ani pmhauoni kwamba kama unazo ukiweka hapa hadharani utapata na wateja wengine?!!