Msaada: Sehemu public, tulivu ya kuchill na kucode Dar

Serikali yetu itutengenezee techhub za kutosha ambapo vijana wanaweza kwenda na kupata free access ya space, WiFi, tools na mentorship.. wakenya na south Afrika wako mbali sana katika technolojia kwasbb hyo... Lkn sasa msije mkatumia hyo fursa kwenda kishusha pirate movie na porno.. shenzzz
 
Mkuu si wata block hizo site za porn..au wasiwasi wako nini?

#MaendeleoHayanaChama
 
Habari wakuu..

Naomba kufahamishwa maeneo pulic, tulivu na salama ndani ya Dar, ambayo mtu unaweza ukaenda, ukaplug laptop yako na ukafanya kazi zako bila bugudha yoyote. Iwe kucode, kuandika kitabu, etc.

Popote pale iwe garden, lounge, bar, café, nk.

Nawasilisha.
Mie niko mji mmoja kanda ya pwani huku mara nyingi usiku nakua pembeni ya bahari ya hindi upepo mwanana kabisa kwenye mushroom. Af huo mji hauna mengi yaan naweza kaa hadi saa saba au nane usiku bila bugdha ukitoa tu hz siku za weekend
 
Msemo Hotel Mtwara au?? 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom