PANTHERA LEO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 2,307
- 3,447
Habari wakuu ningependa kujuzwa sehemu nzuri inayofundisha lugha ya kichina maeneo ya Moshi au Arusha... Au Dar es salaam kama ikiwa rahisi
Nataka nijifunze mkuu , kama kuna mtaalamu pia haina shida kujifunzaunatafuta sehemu au mtaalamu wa lugha ya kichina?
Sawa ngoja niangalie kwanza kama ntapata kwa uku kaskaziniUsitafute visingizio sasa.Good luck!View attachment 1095979
Habari mkuu. Naitwa Peter Munanka unaweza nipata Whatsapp (+8615928077274) au email: youngmuna338@yahoo.comHabari wakuu ningependa kujuzwa sehemu nzuri inayofundisha lugha ya kichina maeneo ya Moshi au Arusha... Au Dar es salaam kama ikiwa rahisi
Hawa ni gharama , mimi ntapunguza bei. Ntarudi Tanzania mwishi wa mwezi huu wa 7. Nna digital certificate HSK level 3.Usitafute visingizio sasa.Good luck!View attachment 1095979
Poa poa mkuuHabari mkuu. Naitwa Peter Munanka unaweza nipata Whatsapp (+8615928077274) au email: youngmuna338@yahoo.com
Nimeishi nnchi kwa muda wa miaka 4 kama mwanafunzi wa engineering na Chinese
Kwa sasa nipo jijini Chengdu China. Nlikuwa nna mpango wa kurudi Tanzania mwisho wa huu mwezi wa 7. Nna certificate HSK 3 ya Chinese (Mandarin) na nlikuwa na mpango wa kuanzisha training school kufundisha Kichina.
Nimekucheki mkuuHawa ni gharama , mimi ntapunguza bei. Ntarudi Tanzania mwishi wa mwezi huu wa 7. Nna digital certificate HSK level 3.
nmeishi China kwa miaka 4 kama mwanafunzi wa lugha na Civil engineering. Karibu. Kwa Whatsapp nicheki +8615928077274. Tena ikiwezekana kama haupo mbali na mjini ntakufata ulipo.
Pamoja , nimekuona Whatsapp 🤝👌👍Nimekucheki mkuu
Nimekucheki mkuu
Bro, kwema samahn je waweza share mrejeshoHabari wakuu ningependa kujuzwa sehemu nzuri inayofundisha lugha ya kichina maeneo ya Moshi au Arusha... Au Dar es salaam kama ikiwa rahisi
Sikupati watsupHawa ni gharama , mimi ntapunguza bei. Ntarudi Tanzania mwishi wa mwezi huu wa 7. Nna digital certificate HSK level 3.
nmeishi China kwa miaka 4 kama mwanafunzi wa lugha na Civil engineering. Karibu. Kwa Whatsapp nicheki +8615928077274. Tena ikiwezekana kama haupo mbali na mjini ntakufata ulipo.
Mi mwenyew nimemchek sijampataSikupati watsup