Statistics
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 3,762
- 8,003
Ni skrini ya mpiga kura AILYONS, hutoa ujumbe kuwa inazimika.....bonyeza any key ndipo inaendelea.
Nini kifanyike kuondoa hiyo dhahama?
Nini kifanyike kuondoa hiyo dhahama?
Unatakiwa uiondoe kwenye settings basi sio jambo kubwaNi skrini ya mpiga kura AILYONS, hutoa ujumbe kuwa inazimika.....bonyeza any key ndipo inaendelea.
Nini kifanyike kuondoa hiyo dhahama?
Kumbe asanteJaribu kubonyeza haraka haraka kwenye tv yako 1147 kisha OK....hii kwa smart tv hata za kawaida pia zina obey.