Msaada Internet Samsung Galaxy Tab 10.1

Msaada Internet Samsung Galaxy Tab 10.1

Mdakuzi

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
4,293
Reaction score
6,901
Habari wana jukwaa!
Nina tatizo Samsung Galaxy Tab 10.1 kila nikiunganisha inafanya kazi kwa muda mfupi kisha inakata na kuweka maelezo ya No Internet connection.
Naomba Msaada wenu.
Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom