Elya
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 296
- 176
Kama tatizo la hyo simu limeletwa na ic husika hapo ikibadilishwa mambo yatakuwa sawa . Sema sasa ni mpaka apatikane mtu madhubuti na makini kwenye hiloNinaweza nikabadili IC na bado simu ikasumbua kwenye display kutoonesha kitu while nikitouch nasikia ikifanya kazi na pia vile vile simu kutopata moto?