Msaada samsung s5 kioo hakioneshi(black screen)

beeper

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
253
Reaction score
107
Habari wadau ,nina samsung s5 , jana ghafla kioo kimeanza kupunguza mwanga kidogokidogo hadi leo hii hakuna hata mwanga yaani kimekuwa black,nikiiwasha screen haionesha ila inawaka na hata mtu akipiga inaita.Naombeni msaada manake yamenikuta.
 
ebwana huo ugonjwa upo sana kwenye hzo cm na shda yaweza kuwa ni ic inayocontrol mwanga hvyo yabd umwone fundi hardware alye karbu na wakuaminika
 
Mkuu, ww ni fundi?
 
Pia vile vile kioo kilichokuja na simu kimeharibika, nmenunua kingine ila nacho kama kinasumbua hivi, nikiweka mwanga low kabisa rangi zinachezacheza au muda mwingine simu inawaka lakini haioneshi kitu. Ila ukitouch unasikia kabisa.
 
Mkuu, mimi s5 yangu inajizima zima kisha inakuwa na moto, je tatizo laweza kuwa ni nini?
Ikifanya hivyo maanake kuna ic ina matatizo na ikishapata moto zaidi simu inashindwa kuhimili na ndio huwa inazima
 
Pia vile vile kioo kilichokuja na simu kimeharibika, nmenunua kingine ila nacho kama kinasumbua hivi, nikiweka mwanga low kabisa rangi zinachezacheza au muda mwingine simu inawaka lakini haioneshi kitu. Ila ukitouch unasikia kabisa.
Hicho cha awali kiliharibikaje na ulichonunua ni kipya au used?
 
Ikifanya hivyo maanake kuna ic ina matatizo na ikishapata moto zaidi simu inashindwa kuhimili na ndio huwa inazima
Na kuna fundi alisema hivyo hiyo ni IC, nikamwambia sawa nikaachana nae.
 
Hicho cha awali kiliharibikaje na ulichonunua ni kipya au used?
Simu ilianguka, haikukaa muda mrefu ikawa nikitouch inasumbua, badae ikakata kabisa. Hiki ni used kwa mujibu wa fundi aliyekibadilisha.
 
Ok kama ni hivyo inawezekana ilivyoanguka ilianza kupata hitilafu kwa ndani au ni matatizo mengine tu kwenye saketi. Hiyo nakumbuka mwaka jana niliingia kwenye mgogoro na mteja maana yeye ilibamizwa ukutani kwenye ugomvi wa home kioo kikaharibika vibaya mno ila simu ikawa inawaka ili haioni. Ilikuwa ni note 1 akatoa 150000/= nikambadilishia kioo kipya kabsa ikawa inafanya kazi vizuri ila ikawa inapata moto mno. Akaja mwenyewe akaiona ila kwa vile nilikuwa namdai 10000/= akasema angeipitia kesho yake. Ndugu yangu ile simu sikuizima muda ule ikabaki kuwa on kuja kuigusa ilikuwa kama jiko na kuanzia haikuwaka tena ahadi leo. Hapo nilijifunza kuwa simu inapopata mianguko hasa samsung huwa ugomvi wake haumaliziki mara moja
 
Sasa Mkuu hii yangu yaweza kuwa ni hiyo IC?
 
Statement yako ya mwisho imenishtua sana maana wiki hii simu yangu imedondoka kama mara tatu hivi.... isije ikaleta shida aisee sina hata hela ya kununua nyingine kwa mwaka huu wote.
 
Kama hapo around kwako kuna fundi unayemuamini mpe achek hicho kinachosababsha joto
Ninaweza nikabadili IC na bado simu ikasumbua kwenye display kutoonesha kitu while nikitouch nasikia ikifanya kazi na pia vile vile simu kutopata moto?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom