Meshaque09
Member
- Mar 10, 2012
- 44
- 1
Nlikua natumia lain ya airtel kwenye s4 na ilikua inafika hadi 4G. Ss nmeRenew lain nyngine lakin haifiki hata 3G inaishia EDGE tu. Nimejaribu kuweka laini nyingine tatu zinagoma hadi ya voda nayo inaishia EDGE. NimeReset simu bila mafanikio.Hii laini ya voda kweny cm nyngine inapanda hadi HSPA lakin kweny S4 hamna ki2. Msaada wadau...