Cha muhimu ni kuiflash.... baada ya hapo root simu kisha tafuta app inayoitwa Greenify. Itakusaidia kufanya simu yako iwe nyepesiWakuu habari za muda huu, naomba msaada simu yangu tajwa hapo juu inasumbua sana yani ni nzito kiasi ambacho hata kufungua files ina delay kwa muda ndio ifunguke natamani kuivunja.
Kutokana na bajeti yangu nikaona ninunue hii simu angalau lakini imekua mzigo labda sijui ni kwa sababu ya zamani sana
Nimeshawahi kuireset mara mbili nikaireboot kwa kutumia njia za kuminya buttons ila bado.
Hapa nafikiria kui flash sijui kama itasaidia au naombeni msaada wakuu.
Wakuu habari za muda huu, naomba msaada simu yangu tajwa hapo juu inasumbua sana yani ni nzito kiasi ambacho hata kufungua files ina delay kwa muda ndio ifunguke natamani kuivunja.
Kutokana na bajeti yangu nikaona ninunue hii simu angalau lakini imekua mzigo labda sijui ni kwa sababu ya zamani sana
Nimeshawahi kuireset mara mbili nikaireboot kwa kutumia njia za kuminya buttons ila bado.
Hapa nafikiria kui flash sijui kama itasaidia au naombeni msaada wakuu.
Natumai wajua kila kitu haposhukrani mkuu ngoja nijaribu
Hadi kuandika msg ipo slow?Wakuu habari za muda huu, naomba msaada simu yangu tajwa hapo juu inasumbua sana yani ni nzito kiasi ambacho hata kufungua files ina delay kwa muda ndio ifunguke natamani kuivunja.
Kutokana na bajeti yangu nikaona ninunue hii simu angalau lakini imekua mzigo labda sijui ni kwa sababu ya zamani sana
Nimeshawahi kuireset mara mbili nikaireboot kwa kutumia njia za kuminya buttons ila bado.
Hapa nafikiria kui flash sijui kama itasaidia au naombeni msaada wakuu.
Aiseee wanasubiri kununua note 10... wewe bado upo kwenye note 1....Wakuu habari za muda huu, naomba msaada simu yangu tajwa hapo juu inasumbua sana yani ni nzito kiasi ambacho hata kufungua files ina delay kwa muda ndio ifunguke natamani kuivunja.