The Chief himself. Short and clear.rudisha samsung mkuu. usihangaike nayo mwisho wa siku itatoka warranty.
Emergency callJe ukiweka line unaleta vitu gani kati ya hivi insert simcard, no service au emergency call only?
Sijaununua samsung mkuu nimeigiza kutoka china kuna mtu aliniletea kama zawadirudisha samsung mkuu. usihangaike nayo mwisho wa siku itatoka warranty.
kwa hapa itabidi ulete model ya simu. nenda setting kisha about kuiona.Sijaununua samsung mkuu nimeigiza kutoka china kuna mtu aliniletea kama zawadi