Msaada: Samsung A 51 imesumbua

HiDEmYiD

JF-Expert Member
Mar 14, 2018
1,862
3,481
Wakuu habari zenu

Nina simu yangu nimenunua majuzi hapo(haina hata week?) aina ya samsung hzi A 51 series....sasa jana imeisha chaji ikazima nikaichaji fresh kuwaka ndo ikaanza mazengwe fingerprint haipo na pattern haichoreki (do not draw)

Msaada juu ya tatzo hili wakuu

Chief-Mkwawa na wengine msaada tafadhali.

Uodates::....

Simu shida ni pattern ya simu imesahulika so haizimiki wala haifanyi chochote mpka correct pattern.
 
Ndo tunaangalia uwezekano huo........labda kama ttzo lake linafixika
Inaweza kuwa ina minor updates/software updates ndio mana inabehave namna hyo

Fanya kitu kimoja tafuta mtu akuunganishe na wifi alafu check software updates tatizo linaweza likaisha ikishindikana irudishe dukani
 
Naam mkuu akikwama aje tuendelee na mengine.

Vinginevyo arudishe dukan na risit yake tu ili akapewe nyingine
 
Inaweza kuwa ina minor updates/software updates ndio mana inabehave namna hyo

Fanya kitu kimoja tafuta mtu akuunganishe na wifi alafu check software updates tatizo linaweza likaisha ikishindikana irudishe dukani
Yes nahis ivoo maana shida imekuja ilipozima kabsa (chaji 0%)........

Ndo nauliza wataalamu watupe updates.
 
Aise kama wamekupa warranty irudishe
Mlimani Samsung wanauza hiyo sim 800-760k
Kwann kko wauze bei hiyo

Ova
Mmhh hyo itakuwa A 72 au 52 kama sikosei ....mkuu nilizama chimbo za jumla hafu si unajua mlimani kwa washua.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom