Msaada Samsung home theater 3d

error term

JF-Expert Member
Jan 29, 2017
388
623
Wadau naomba msaada, home theater speaker mbili kati ya sita ndizo zinazo fanya kaz mwenye ujuzi jinsi ya kufix hili tatizo please
 
Wadau naomba msaada, home theater speaker mbili kati ya sita ndizo zinazo fanya kaz mwenye ujuzi jinsi ya kufix hili tatizo please
Hapo ni suala la mode ya system na sio ubovu wa system yako. Kuna mode kama Matrix, Cinema, Pro Logic etc. Sasa kuna mode kama Matrix inapiga speakers zote ila kama Stereo na nyinginezo speaker hazipigi zote
 
Badilisha mode ya sauti.
Weka dolby pro logic itapiga kote kulingana na contents unayoplay.
 
So cheza na mode settings za remote yako

Shukran sana mkuu,
Il cha ajabu pia
Ukienda kwenye mode unakuta ipo normal sterio na haitak kurespond yan mshale unaivuka
Na kwenye remote sehemu ya mode hairespond
IMG_9583.JPG


Hiyo ndio remote niliyonayo mkuu
 
Mimi nina Home theater Sony nawaombeni msaada pia. Nataka nipate ile ladha ya speaker kuimba kwa kupokezana. Unakuta mziki unapoimba kuna speaker inaimba nyingine imetulia. Ile iliyokuwa imetulia unakuta kuna muda inaimba ile ilokuwa inaimba imetulia. Hii ni settings au ni baadhi ya home theater ndo zina tabia hii? Maana nilinunua kwa kuvutiwa na ladha hii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom