MSAADA: SAMSUNG GALAXY S4 I9500

hewizet

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2013
Posts
2,522
Reaction score
1,672
Imei iko sawa kabisa,baseband ila nikipiga simu inaniambia not registered on network,nmejaribu kurpair network ila bado haijakaa mkao, line inasoma na mnara unajaa nmeshabadili modem.bin zaidi ya nne lakini wapi

inaniambia emergency only
 
mkuu hapo kilichobakia labda TCRA wameifungia sababu kuna simu genuine ambazo imei zake zimekuwa blacklisted, ziliibiwa huko zamani au zina makosa mengine
 
Mkuu niaje?

Sorry nakutoa nje ya mada, hivi Nokia 6 zimefika Bongo?
 
imei iko poa nmehakiki mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…