jaribu kufanya hivi.
1. toa apps zote ulizoziweka toka hilo tatizo lianze
2. nenda setting kisha security kisha device administrator halafu angalia nini kipo hapo, by default kunatakiwa kuwe na device manager tu, kama kuna kitu chengine kimeongezeka na hujakiweka wewe kitoe.
3. nenda setting kisha apps/application halafu toa apps usizozijua ambazo zime downlodiwa.