View attachment 1812686View attachment 1812687View attachment 1812688Uki hard reset inatoka pattern lakini unapoteza data zote.
Unajua email na password yako? Ukikosea sana pattern utaletewa option ya kuweka email na pass.
Kivipi mzee hii tumesahau password tu mkuu ambyo ni pattern kama inavyoonesha hapoImeshakufa....nilizubguka nayo madukani hapo kariakoo kila fundi mkorofi nilipita naye hiyo ni yakuchovya na haina faili kwani wao Wana file kwa Samsung A51 org
sijaona picha nyengine
Simu ishakaa freshSiku hizi hata hawatengenezi sana hizo copy, Bali wanauza hizo hizo OG lakini ambazo ni refurbished.
1. Kujua og washa simu Kisha download software kama cpu Z toka playstore itakuonesha hardware za ndani kama soc, ram, storage etc Kisha linganisha na specs halisi toka gsmarena.
2. Kujua refurb ingia download mode, shikilia Bixby ama home na power button na volume down kwa pamoja itaingia download mode Angalia model yake ni ipi?
Mkuu naomba unipe muongoza wa hzo simu ambzo umesema ni refurb lakin ni OG .....zinakuwaje na shida yake nn na OG .....hii yangu naona kama nayo ndo hzo refurbSiku hizi hata hawatengenezi sana hizo copy, Bali wanauza hizo hizo OG lakini ambazo ni refurbished.
1. Kujua og washa simu Kisha download software kama cpu Z toka playstore itakuonesha hardware za ndani kama soc, ram, storage etc Kisha linganisha na specs halisi toka gsmarena.
2. Kujua refurb ingia download mode, shikilia Bixby ama home na power button na volume down kwa pamoja itaingia download mode Angalia model yake ni ipi?
Refurb mkuu ni kama kubet, unaweza Uziwa simu ikawa ni kama mpya isisumbue hata kidogo na nyengine ikawa na matatizo lukuki.Mkuu naomba unipe muongoza wa hzo simu ambzo umesema ni refurb lakin ni OG .....zinakuwaje na shida yake nn na OG .....hii yangu naona kama nayo ndo hzo refurb
Namba mbili Angalia hii video namba ya kuingia download mode. Utakuta model ya simu imeandikwa.Simu ishakaa fresh
Hapa namba mbili sijaelwa bado mkuu