Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,062
- 43,478
Kama wadau wengine walivyohoji kuna uwezekano ni refurb, vyema ukairudisha wao ndio watafute solution.Wakuu habari zenu
Nina simu yangu nimenunua majuzi hapo(haina hata week?) aina ya samsung hzi A 51 series....sasa jana imeisha chaji ikazima nikaichaji fresh kuwaka ndo ikaanza mazengwe fingerprint haipo na pattern haichoreki (do not draw)
Msaada juu ya tatzo hili wakuu
Chief-Mkwawa na wengine msaada tafadhali.
Alternative download smart switch kwenye pc, kesha Nenda emergency software recovery halafu Fuata maelekezo, smart switch ina uwezo wa kuflash bila kupoteza data.
