Msaada!sabuni gani nzuri kusafisha papuchi!!

unatafuta sabuni ya kuosha kikojoleo?
utahangaika sana na sabuni matokeo yake ni kuharibu uke wako mkuu
tumia maji ya vuguvugu na sabuni ya kawaida,ukumbuke 2 usafi wa kila uedapo haja
usipokuwa makini utaunguza uke
 
Hayakuhusu haya. Umejulia wapi? Lione kwanza.

Oooops...! Tumieni Aloera pure kutoka kwenye mea wake, achanganye na asali ya nyuki wa dogo, baada ya mda unatoa magada ya aloevera na kubaki ile juice yake na asali then unachanganya na mafuta ya ubuyu hapo ukioshea inakua mwake mwake... Faida kibao inakua moto, mnato, tight, safi na yenye afya. N:B huu mseto bado naufanyia utafiti.

copy cuchi
 
Last edited by a moderator:
wadada mnatatizo gani?mpaka sabuni ya kuosha papuchi mnazo?
kweli wajinga ndio waliwao,
harufu ya papuchi ndio hhuleta hamu wakati wa ngono aiseeeeeee
papuchi huoshwa kistaarabu si kwa vurugu za sabuni izo mlizotengenezewa,
tumia kama unafangasi,mapunye,ukurutu na magonjwa mengine
LAKINI MDADA ANAYETUNZA PAPUCHI YAKE,KWA KUIGAWA KISTAARABU NA KWA MDA MWAFAKA
Huwezi kutafuta sabuni izo za ovyo ovyo
Wadada wasiojiheshimu na kutumika na wanaume wengi ndo wanatumia izo sabuni za ovyo ovyo
 
Tumia product ya oriflame wanazo Sina 2 ziko mild.

wadada mnatatizo gani?mpaka sabuni ya kuosha papuchi mnazo?
kweli wajinga ndio waliwao,
harufu ya papuchi ndio hhuleta hamu wakati wa ngono aiseeeeeee
papuchi huoshwa kistaarabu si kwa vurugu za sabuni izo mlizotengenezewa,
tumia kama unafangasi,mapunye,ukurutu na magonjwa mengine
LAKINI MDADA ANAYETUNZA PAPUCHI YAKE,KWA KUIGAWA KISTAARABU NA KWA MDA MWAFAKA
Huwezi kutafuta sabuni izo za ovyo ovyo
Wadada wasiojiheshimu na kutumika na wanaume wengi ndo wanatumia izo sabuni za ovyo ovyo
duh hii kiboko!
 
Yangu already ni moti, mnato, tight na ina afya tele. Hilo la usafi maji ya baridi tu yanatosha baba wa watu asije akachanganyikiwa bureee
Oooops...! Tumieni Aloera pure kutoka kwenye mea wake, achanganye na asali ya nyuki wa dogo, baada ya mda unatoa magada ya aloevera na kubaki ile juice yake na asali then unachanganya na mafuta ya ubuyu hapo ukioshea inakua mwake mwake... Faida kibao inakua moto, mnato, tight, safi na yenye afya. N:B huu mseto bado naufanyia utafiti.

copy cuchi
 
Last edited by a moderator:
Acha ujinga ww,papuchi waiosha na sabuni kwani imekuwa vumba la samaki?
 
nikiwe kumbe ata na wew kumbe washangaa?me mwenyew naona ka uyu mtu kachizika flani,kutafuta sabuni ya kuosha papuchi,yan atakuwa kavurugwa aisee
 
Habari wana jf!!nahitaji msaada wa kujua ni sabuni gani nzuri kwa ajili ya kusafisha papuchi kwasababu kwa baadhi ya post humu kuna sabuni zimetajwa sio nzuri na moja wapo nilikuwa natumia inaitwa feminine! Sasa wadau nisaidienien ipi nzuri ambayo haina madhara yoyote!

kaisiki, hii ni nzuri sana na matokeo yake ni mazuri hata mumeo atafurahi
 
He he he, sabuni haitakiwi iingie ndani, ni juu tu, vinginevyo utatembea na gunzi, ni tatizo kuweka sabuni ndani.

I can imagine Paw alikuwa kaogopaje, he he he
Ningekuwepo ningemchongea, hadi unafika hospital ushamng'oa meno mawili.

Lol. Mie nareact kwa haya masabuni (afu yanapunguza utamu, lol) Riwa na Roulette walishauri hapa inatakiwa maji tuuu, lakini kama una obssessions zako basi mild soap is better kama hautumii shower gel.

My gynae says the same. Im serious, nilitumia hiyo femfresh na nilienda hosp kabisa huku nimempania paw. Yaani staki hata kukumbuka, i was irritated all the time.
 
He he he, sabuni haitakiwi iingie ndani, ni juu tu, vinginevyo utatembea na gunzi, ni tatizo kuweka sabuni ndani.

I can imagine Paw alikuwa kaogopaje, he he he
Ningekuwepo ningemchongea, hadi unafika hospital ushamng'oa meno mawili.
Yaan umenifundisha kitu kikubwa sana kumbe papuchi haitakiwi kusafishwa ndan lol!!kutakuwa gunzi
 
wadada mnatatizo gani?mpaka sabuni ya kuosha papuchi mnazo?
kweli wajinga ndio waliwao,
harufu ya papuchi ndio hhuleta hamu wakati wa ngono aiseeeeeee
papuchi huoshwa kistaarabu si kwa vurugu za sabuni izo mlizotengenezewa,
tumia kama unafangasi,mapunye,ukurutu na magonjwa mengine
LAKINI MDADA ANAYETUNZA PAPUCHI YAKE,KWA KUIGAWA KISTAARABU NA KWA MDA MWAFAKA
Huwezi kutafuta sabuni izo za ovyo ovyo
Wadada wasiojiheshimu na kutumika na wanaume wengi ndo wanatumia izo sabuni za ovyo ovyo

Mmmmmhhh asante mkuu ila sio kila anayeuliza basi papuchi yake inatumika vby la hasha ila hzi sabuni zipo ndo maana nikaona ni vyema kujua mawazo ya wadau kama wewe
 
Loooh!!!!napita tu baadae ntakuja kusoma ili nimshauri my wife sabuni iliyobora,kwani Lara 1,yuko wapi si atuambie jamani
 
Mmmmmhhh asante mkuu ila sio kila anayeuliza basi papuchi yake inatumika vby la hasha ila hzi sabuni zipo ndo maana nikaona ni vyema kujua mawazo ya wadau kama wewe
athante,nimekuelewa mkuu,karibu tena
 
Back
Top Bottom