Habari wana jf!!nahitaji msaada wa kujua ni sabuni gani nzuri kwa ajili ya kusafisha papuchi kwasababu kwa baadhi ya post humu kuna sabuni zimetajwa sio nzuri na moja wapo nilikuwa natumia inaitwa feminine! Sasa wadau nisaidienien ipi nzuri ambayo haina madhara yoyote!
Hahahaha jaman mbona watu wanasema dettol sio nzuri kwasababu inaua bakteria ambao ni wazur kwa afya ya papuchi!
Tafuta hii hapa
Hii ndo haifai kabisaaa. Inanukia vizuri lakini ni kali. Ilinifanya niende hospital kabisa nikataka kumnyonga paw, nilijua keshaharibu.
Kama unajua mild soap (sabuni yoyote isiyo antibacterial na isiyo na harufu kali) inatosha. Raha ya samaki shombo kwa mbaali!
Inapatikana wap na vp gharama zke mkuu!?
Eeeeehh naona hunitakii mema kabisaa!
hata vim ni nzuri