fungua software ya modem yako, halafu click tools au option halafu click network.
kutafunguka kitu kama hiki
click hapo kwenye regristration mode kama utaona roaming untick kama hutaiona nenda manual search then itasearch network subiria kama dakika moja hivi itakuletea list ya mitandao yote, chagua mtandao husika unaotaka.
hapo itatoka roaming, ila ubaya wa manual search ni kwamba network ikikatika mara kwa mara itakuwa inakuletea pop up za kuchagua upya mtandao.