Kwa vitu ulivyoorodhesha maana yake wahitaji Pressure Cooker hii ndio inapika kila kitu lakini Rice cooker ni wali tu hata jina lajieleza.Wakuu mambo vipi?
Nina likizo ya week 3 kazini. Nitakua ghetto muda wote huo. Sa nitakua napika pika maana kununua gharama sana.
Sasa
Unatakiwa uwe nazo zote tatu, slow cooker unapikia chakula kigumu kinakuwa laini na test tamu kama vile umepikia chungu hii ni vizuri kuweka chakula usiku ukiamuka unakuta chakula tayari maana nyingi zinajizima, vyakula vya kupikia slow cooker nyama ya ng'ombe na Asubuhi unaweza kutumia supu kwa breakfast, kuku wa kienyeji hivyo hivyo, Rice cooker utapikia wali na tambi na kama inakifaa cha steam utachemshia mayai na vegetables.Wakuu mambo vipi?
Nina likizo ya week 3 kazini. Nitakua ghetto muda wote huo. Sa nitakua napika pika maana kununua gharama sana.
Kanunue MULTI PURPOSE PRESSURE COOKER AINA YA "ELSHERIF" NI DUDE LA UHAKIKA. UNAPIKA UNA OKA,UNA CHEMSHA,UNA PASHA,UNA KAANGA NA LINA TUMIA UMEME KIDOGO MNOOO! MAPISHI NI SEKUNDE TU NYAMA NI DK 10 TU UMEKULA KITU LAINIIIII !!!Wakuu mambo vipi?
Nina likizo ya week 3 kazini. Nitakua ghetto muda wote huo. Sa nitakua napika pika maana kununua gharama sana.
Kasepa hataki hata kuandika neno "Ahsante"Mleta mada fuata muongozo hiyo.
Ukiunga tunapata Rice slow cookerWakuu mambo vipi?
Nina likizo ya week 3 kazini. Nitakua ghetto muda wote huo. Sa nitakua napika pika maana kununua gharama sana.
Sasa nimekutana na kitu kinaitwa Slow Cooker, je ndio hiyo hiyo Rice Cooker au vitu tofauti?
Kwa kifupi nataka dude litakaloweza kupika nyama, wali, mbogamboga etc. Yaani all in 1.
Shukrani.
Duh pressure cooker ,tunapoelekea tutaletewa magnetic cooker,induction cooker ,volume cooker nkUnatakiwa uwe nazo zote tatu, slow cooker unapikia chakula kigumu kinakuwa laini na test tamu kama vile umepikia chungu hii ni vizuri kuweka chakula usiku ukiamuka unakuta chakula tayari maana nyingi zinajizima, vyakula vya kupikia slow cooker nyama ya ng'ombe na Asubuhi unaweza kutumia supu kwa breakfast, kuku wa kienyeji hivyo hivyo, Rice cooker utapikia wali na tambi na kama inakifaa cha steam utachemshia mayai na vegetables.
Pressure cooker hii vyakula vyote ila siyo vizuri kuipikia wali hautoki vizuri kingine chakula cha kupika kwa pressure cooker kinaiva haraka kama maharage na umeme kidogo na vingine kama nyama dakika 10 imeshaiva, ndizi, viazi, mihogo, karanga za kuchemsha dakika 10 au 5 tayari chakula kimeiva hivyo ni muhimu kuwa nazo zote tatu.
Mkuu naomba kujua wastani wa being kwa hioKanunue MULTI PURPOSE PRESSURE COOKER AINA YA "ELSHERIF" NI DUDE LA UHAKIKA. UNAPIKA UNA OKA,UNA CHEMSHA,UNA PASHA,UNA KAANGA NA LINA TUMIA UMEME KIDOGO MNOOO! MAPISHI NI SEKUNDE TU NYAMA NI DK 10 TU UMEKULA KITU LAINIIIII !!!
Wabongo wanapika mpaka maharageKwa vitu ulivyoorodhesha maana yake wahitaji Pressure Cooker hii ndio inapika kila kitu lakini Rice cooker ni wali tu hata jina lajieleza.
Na ndiyo kazi hasa ya pressure cooker, kupikia maharage. Of course unaweza kupikia vyakula vingine pia.Wabongo wanapika mpaka maharage
Masaki mnaita frying pan ila kwetu huku tunaziita flampeni 😂🤣Zipo tofauti, slow cooker inatumia joto dogo na kuivisha chakula kwa muda mrefu zaidi....rice cooker inatoa joto jingi zaidi na kuivisha chakula kwa muda mfupi.
Slow cooker ingekufaa zaidi kama unataka kupikia vitu mbali mbali ila kama ungekuwa na muda na unataka kufurahia chakula bora utumie jiko la kawaida uwe na sufuria zako na frying pan!
Pressure cooker sawa ila upike maharage kwenye rice cooker jamani hapanaNa ndiyo kazi hasa ya pressure cooker, kupikia maharage. Of course unaweza kupikia vyakula vingine pia.
Kuna mtu anapika maharage kwenye rice cooker!!!??? Duh!!!Pressure cooker sawa ila upike maharage kwenye rice cooker jamani hapana
Ndo wabongo haoKuna mtu anapika maharage kwenye rice cooker!!!??? Duh!!!
Inauzwaje hiyo MULTI PURPOSE PRESSURE COOKER, na kwa ujazo upi,?asanteKanunue MULTI PURPOSE PRESSURE COOKER AINA YA "ELSHERIF" NI DUDE LA UHAKIKA. UNAPIKA UNA OKA,UNA CHEMSHA,UNA PASHA,UNA KAANGA NA LINA TUMIA UMEME KIDOGO MNOOO! MAPISHI NI SEKUNDE TU NYAMA NI DK 10 TU UMEKULA KITU LAINIIIII !!!