Msaada : Repair Samsung S5 IMEI Number

Msaada : Repair Samsung S5 IMEI Number

sio ucngizini ni usingizini..
ndio nilishawahi kutumia
huko kwenu viroba vtakiwa bdo vinauzwa... miracle box haina uwezo wa kurepair g900 mkuu. kama wew ni fundi basi nina mashaka na tasnia yako na kama cyo fundi ucwe unakurupuka vtu usivyovijua..
 
Iyo bei ndogo tu wape 15,000 wakilia sana 20.
Hapo kuna box la Zbox kitu kama icho.
Ilishanitokeaga kwenye S3 back in in time
Kuna mmoja ana box ila kasema s5 haipo kwenye box, tena nilishampanga kwa 10,000. Tena hii ni leo asubuhi, nilijeruhika sana.
 
huko kwenu viroba vtakiwa bdo vinauzwa... miracle box haina uwezo wa kurepair g900 mkuu. kama wew ni fundi basi nina mashaka na tasnia yako na kama cyo fundi ucwe unakurupuka vtu usivyovijua..
ujinga na upumbavu ni kudhani wewe ndio mjuzi wa kila kitu, mimi sio fundi wa kukaa vibandani BUT mtu akiwa na shida huwa namsaidia. Hapa hatujaja kuoneshana nani anajua zaidi but kuchangia mada. Kama kuna njia amvayo wewe unaona ni bora zaidi iweke hapa kumsaidia mleta post. We inaonekana ni mwehu sana hovyo kabisa
 
Kuweni makini sana na simu zenu, sasa hivi kuna mafundi wahuni ukipeleka simu yako atengeneze ana copy IMEI number anakuja kumuuzia mtu mwingine, baada ya muda simu yako inaanza kusumbua hata kuwa blocked na TCRA.
 
ujinga na upumbavu ni kudhani wewe ndio mjuzi wa kila kitu, mimi sio fundi wa kukaa vibandani BUT mtu akiwa na shida huwa namsaidia. Hapa hatujaja kuoneshana nani anajua zaidi but kuchangia mada. Kama kuna njia amvayo wewe unaona ni bora zaidi iweke hapa kumsaidia mleta post. We inaonekana ni mwehu sana hovyo kabisa
mi hata cjajitambulisha kama ni fundi cmu eti.. nakushangaa unavyotoka povu mkuu kwa vitu vya kijinga sana.. infact naendelea kusisitiza hakuna miracle box inayo repair g900h... toka povu utakavyotoka bt hyo kitu yako labda kwenye sayari nyingne
 
Mkuu, itakuwa ni vyema kama ikarudi ktk IMEI yake ila hata ikapatikana nyingine sio vibaya kuliko simu kukaa ndani tu.
Njoo pm mikupe maujanja ili line isome mdau
 
mi hata cjajitambulisha kama ni fundi cmu eti.. nakushangaa unavyotoka povu mkuu kwa vitu vya kijinga sana.. infact naendelea kusisitiza hakuna miracle box inayo repair g900h... toka povu utakavyotoka bt hyo kitu yako labda kwenye sayari nyingne
Itakuwa s5 clone ndo anazungumuzia huyo jamaa ya kurepair na miracle.

Kama hujui unapoenda huwezi kupotea.
 
Back
Top Bottom