Msaada ramani simple ya vyumba vitatu

Mimi niomba mwenye nayo aweke hapa wadau

Hii hapa

IMG_1039.JPG
 
Inawezekana ndio kama utajenga vyumba vitatu kama mfumo wa fremu za maduka tena itabaki nafasi kubwa tu ama kama ukijenga vyumba vitatu pekee bila choo,sebule wala jiko
Mkuu hii nyumba ya bila choo wala sebule sijaielewa
 
Ningetaka ya pesa ningesema sijengi gorofa au hoteli mpaka kusema nilipie wakati watu wana ramani kibao ndani vitu vingne msiweke ugumu hata kama ni fani yako
Haya njoo chukua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom