Msaada ramani simple ya vyumba vitatu

Msaada ramani simple ya vyumba vitatu

Je jamani kwa uwanja wenye kipimo cha urefu mita 16 na upana ni mita 11,je naweza kujenga nyumba na eneo la parking likabakia
 
Inawezekana ila nyumba ndogo. Itategemeana na mahitaji ya nyumba unayohitaji.

Kwa mfano nyumba ndogo ya vyumba vitatu,sebule,dining,kitchen,store na public toilet inahitaji appr. 120-150 square metres( hapo umeibana),kumbuka pia inabidi kubaki na space nje. Ukiwa na kiwanja kidogo cha angalau 400 square metres kinatosha.

Ukipata Architect ,Civil engineer au mfundi mzoefu ukampa requirements zako anaweza ona jinsi ya kukusaidia with such limited area.
 
Ok shukrani sana ushauri wako
 
Watanzania wengi ulewa wao nimdogo sawa kuhusu taaluma ya uchoraji michoro ya nyumba(archtectural ) ..ni aibu nakujidhalilisha kuomba ramani hii inaonyesha uelewa mdogo kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwani nyumba nyingi za uswazi huwaga zinaga ukubwa wa aina gani
Swali lako ni gumu kulijibu kwani nyumba hizo za "uswazi" zinatofautiana.

Kwa ufupi nyumba nyingi zinazojengwa maeneo mengi Tanzania ikiwemo "uswazi" hazifuati taratibu za kitaalam. Watu wengi bado hawaoni umuhimu wa kuwatumia wataalam ili kuweza kupata nyumba zinazokidhi viwango.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom