msaada rafikiye wife

msaada rafikiye wife

muluvigwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2012
Posts
263
Reaction score
84
jaman dunia inamambo! mke wangu alikua anakuja narafikie hm cha ajabu rafikie alikua mtu wautani sn kama nilivo me. siku hiz haish kunipigia cm mpaka sa 6 ucku na me np mbali na wife kwan np mwanza kikaz wf yupo dar chuo.anapopiga cm huongea maneno yakimapenz na mitego nikahic bado utan! wf kumbe alishagundua kitambo na aliambiwa na rafikie mwingine kua rafikio anamtaka mmeo hivyo kuwa macho na wife kanambia hayo juz2 baada kuona rafikie kaongeza kas!.sasa naomben ushaur namna ya kukata mawasiliano nae.binafc sina mpango wakumla na naipenda ndoa yangu.
 
Usipokee simu, kama unaweza block hiyo namba ni bora. Eti hauna ulazima nae la sivyo utaharibu unyumba wako bure.
 
we mkamue
tu then unajikataa!
 
jaman dunia inamambo! mke wangu alikua anakuja narafikie hm cha ajabu rafikie alikua mtu wautani sn kama nilivo me. siku hiz haish kunipigia cm mpaka sa 6 ucku na me np mbali na wife kwan np mwanza kikaz wf yupo dar chuo.anapopiga cm huongea maneno yakimapenz na mitego nikahic bado utan! wf kumbe alishagundua kitambo na aliambiwa na rafikie mwingine kua rafikio anamtaka mmeo hivyo kuwa macho na wife kanambia hayo juz2 baada kuona rafikie kaongeza kas!.sasa naomben ushaur namna ya kukata mawasiliano nae.binafc sina mpango wakumla na naipenda ndoa yangu.

Utoto unakusumbua!
Hivi kusema ukweli una miaka mingapi ya kuzaliwa?
 
jaman dunia inamambo! mke wangu alikua anakuja narafikie hm cha ajabu rafikie alikua mtu wautani sn kama nilivo me. siku hiz haish kunipigia cm mpaka sa 6 ucku na me np mbali na wife kwan np mwanza kikaz wf yupo dar chuo.anapopiga cm huongea maneno yakimapenz na mitego nikahic bado utan! wf kumbe alishagundua kitambo na aliambiwa na rafikie mwingine kua rafikio anamtaka mmeo hivyo kuwa macho na wife kanambia hayo juz2 baada kuona rafikie kaongeza kas!.sasa naomben ushaur namna ya kukata mawasiliano nae.binafc sina mpango wakumla na naipenda ndoa yangu.

Nadhani hili liko within your capacity,unaweza tu ukablock number yake au akipiga usipokee kama kweli huna nia ya kufanya mbaya naye.!!!!!!!!!!!!
 
Divert NAMBA iende kwa mkeo, halafu mwambie atume meseji ndio utamuelewa.pia kuelezea mkeo aache kuleta mashoga nyumbani.
 
Acha kupokea simu wala kujibu SMS...majuto ni mjukuu
 
Mie huwa sielwei mtu anapoomba ushauri wakati ameshafanya maamuzi. Hivi kwanza inakuwaje unakuwa na namba ya simu ya rafiki wa mkeo. Mnapeana ili iweje na muongee nini?
 
Sioni kama kuna sababu ya kuogopa kupokea simu. Ila unaweza kufanya haya yafuatayo:

1. Acha kabisa tabia za utani na yeye
2. Mkataze kupiga simu usiku
3. Akikupigia simu na kuanza mambo yake mwambie wazi kuwa wewe ni mume wa mtu na huna mpango wa kuwa na mahusiano nje ya ndoa kwa namna yeyote ile. Mpe makavu. Na kama ataendelea utaacha kupokea simu zake na pia utatoa taarifa kwa mkeo ambaye ni rafiki yake.

Mwanaume hupaswi kuwa muoga muoga, simu yako halafu unaogopa kupokea? Fikiria, ukiacha kupokea halafu akatumia simu ya mtu mwingine, ukipokea utakata? Au utajibu nini? Akina dada wanaweza kutumia technique hii ya kuacha kupokea simu ila kwa wewe kaka, no! Huu ni mtazamo wangu binafsi!
 
Kwanza utani na fariki wa mkeo ni wanini? au anafika mpaka kuongea maneno ya mapenzi na wewe inakuwaje mapaka afike kote huko nani alimpa fursa hiyo? au akupigie simu usiku yeye akiwa kama nani kwako? ivi ikitokea mtu anafanya hivyo
tuseme rafiki yako anafanya hayo kwa mkeo utamuelewa mkeo? Kua mwanamme mwenye mamuzi na mwenye msimamo
hizo takataka zisikuharibie nyumba yako na kama angekua mwanamke mwenye adabu zake asinge jishaua kwako.....anataka ajue size yako na kiwango chako mchezoni hana haja nawewe....
 
mwambie 2 ukweli wake bwana ya nini umfiche na umwambie na mkeo kua rafiki yako anatabia flani basi utakua umekata mzizi wa fitina
 
thanx ntafanya hivyo
 
mwambie 2 ukweli wake bwana ya nini umfiche na umwambie na mkeo kua rafiki yako anatabia flani basi utakua umekata mzizi wa fitina

wife anaujua ukweli na amenambia. what good ntamwambia ukwel. by the way thanx
 
JF inafanya watu wasiweze hata kufanya mambo madogo. Hivi hapo umeshindwa ufanye nini? Haya kamchape awe nyumba ndogo.
 
Acha kupokea simu.

Back
Top Bottom