Msaada PS2 na PS3

Msaada PS2 na PS3

taslo

Member
Joined
Jul 9, 2014
Posts
46
Reaction score
7
habari wadau.
msaada kuhusu taarifa za ps2 a ps3.
nltaka kujua aina zake na utofauti wake.

mf.
>storage (na unajuaje hard disk ake n ngap)
>njia za kuweka magemu (Cd ,flash ,memory etc)
>na faida na changamoto zake.
>na jinsi ya kuingiza games na bei zake kama itawezekana.
>na pia taarifa yeyote muhimu m2 ambayo inapaswa ajue akitaka kununua

ASANTENI
Natumai nitapata ushirikiano wenu katika hili
 
ps2 zilitangulia kutoka kabla ya ps3,tangu mwanzoni mwa mwaka 2000 ila ps3 zilitoka kwenye miaka ya 2010 hv... ps2 haina storage disk kabisa ila ps3 ina storage hdd za kila aina kama hdd za pc. kwa vile ps2 haina hdd uwa tunatumia flash kama media storage afu unakuwa na chipped ps2 pamoja na memory card ya ps2 yenye programs za kuboot...., ps3 uwa tunaweka moja kwa moja kwenye game ingawa ni lazma ichipiwe pia unaweza kutumia internet ya ps3 kudownload..., faida ps3 ni latest na ndo tunayoitumia sana kwenye biashara bei imesimama 250k+ ps2 ya zaman ila ni bei rahis 100k+,.,, kuingiza games ni 70k+ kwa ps 2 ni 3000 kwa kila game
 
asante.
na ku chip ndo kufanyaje maana n neno ambalo nalionaga afu sielew
 
Mkuu naweza kupata ps3?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ps3 game 70k? La dukani hilo ama mtaani?
 
asante.
na ku chip ndo kufanyaje maana n neno ambalo nalionaga afu sielew
Nyongeza ndogo tu kutoka maelezo mazuri ya King, PS2 pad zake zinatumia wire, wakati zile za PS3 ni wireless
 
ps2 zilitangulia kutoka kabla ya ps3,tangu mwanzoni mwa mwaka 2000 ila ps3 zilitoka kwenye miaka ya 2010 hv... ps2 haina storage disk kabisa ila ps3 ina storage hdd za kila aina kama hdd za pc. kwa vile ps2 haina hdd uwa tunatumia flash kama media storage afu unakuwa na chipped ps2 pamoja na memory card ya ps2 yenye programs za kuboot...., ps3 uwa tunaweka moja kwa moja kwenye game ingawa ni lazma ichipiwe pia unaweza kutumia internet ya ps3 kudownload..., faida ps3 ni latest na ndo tunayoitumia sana kwenye biashara bei imesimama 250k+ ps2 ya zaman ila ni bei rahis 100k+,.,, kuingiza games ni 70k+ kwa ps 2 ni 3000 kwa kila game
Mkuu, PS3 na XBOX 360 ipi ni nzuri kibiashara? Na ukinunua CD unaweza ukaicopy ktk hiyo internal storage ili usitumie tena CD?

Asante!
 
xbox 360 nzur kwa biashara coz of pad zake ni ngumu sana ila kwa michezo pendwa sony anayo mingi sana na aina complication kwenye kuwaka kama xbox 360 ila zote zikiwa chipped unaweka downloaded games free mm nnayo hapa xbox 360 nna games zaid ya 60+ humo
 
Kwahiyo kwa Game moja ndo wafanya kwa 70,000?
 
Back
Top Bottom