Hapo kwenye red uko so wrong.. C/C++ ni very widely used, hasa C++ inarun almost backends zote za big tech companies, Google Search, Facebook, Youtube, Maps za Google, Microsoft, Browsers kama Chrome, Firefox, Opera, Computer Vision apps bila kusahau game engines popular zote yaani nikitaja performance critical apps hapa zinazorun on C++ list itajaza thread. In short tech companies nyingi wakiwa na kazi yoyote ambayo ni performance critical wanapenda kukimbilia C++ simply because nothing else beats it kwenye hiyo area.
Unanitoa nnje ya track, sijasema mimi nilianza na language ipi, if you know how to read you may see that.
hizo nyingine unazofanya ni show off tu, tusitoke nnje ya mada lengwa kila mtu kuanza kujigamba bila sababu za msingi binafsi sioni umuhimu ila wewe kama unaona umuhimu sawa.
na hizo language unazo underrate wewe ndizo wanazoingia nazo wenzako big companies, kaulize facebook kama hawahitaji language kama python kwenye interview zao.
fagix ubaya wa programming sometimes unavyozidi kuulza uanze na language ipi ndivyo unavyozidi kupotea.
Mi niliona kama ulinijibu kwa dhalau kama unadhani sijui nilichoshauli.. language zinategemeana.. ila kuna ambayo inatumika zaidi ya ngingine..
Hapo kwenye red uko so wrong.. C/C++ ni very widely used, hasa C++ inarun almost backends zote za big tech companies, Google Search, Facebook, Youtube, Maps za Google, Microsoft, Browsers kama Chrome, Firefox, Opera, Computer Vision apps bila kusahau game engines popular zote yaani nikitaja performance critical apps hapa zinazorun on C++ list itajaza thread. In short tech companies nyingi wakiwa na kazi yoyote ambayo ni performance critical wanapenda kukimbilia C++ simply because nothing else beats it kwenye hiyo area.
Ndo maana wenzetu wazungu watoto wao miaka kumi na sita anaaplication za android.. coz hawajamuogopesha kuanza na java.. ww piga php na python alafu utegemee miaka ya 30 ndo uingie java
Language ndogo zake na Java ni zipi?Anza na java .. ingawa ngumu itakusaidia kujua zote zilizobakia.... ukianza na rahisi utashindwa kwenda kwenye ngumu.. mi niliaza na java.. ila sasa najua zote ndogo zake..