Nikweli ilikua hivyo, hapo kati kati kuna kitu kimefanyika japo NACTE hawajataka kukizungumzia, kifupi nikwamba about 22jully walitoa selection za watu wa bachelor na wakasema kama hutaona umechaguliwa abgalia kwenye profile wameweka na sababu hadi wakatoa na link ukiifungua unakuta sababu, kwa watu waliokua wamechagua course zisizo endana na sifa zake aliyonayo mfano mtu ana diploma ya IT Akaaply kwa Account or Finance kwenye sababu walitoa not eligible then wanaweka na sababu then wanakwambia futa machaguo, kuna wengine matokeo yao ya form four yalikua mabaya i mean hakua na zile D Angalau Nne wanazotaka nao pia waliambiwa, but ghafla around 24th profile zikagoma kufunguka hata kama ukifanikiwa kuingia ile icon ya futa machaguo haikuwepo tena, hapo ndio TCU walikuja na GPA yao ya 3.5 wakati nacte walidahili watu kwa 2.7 afu wakawa wametoa na matokeo ikabid waclose website ili wafanye mazungumzo baada ya siku chache website ilikua open ila ukifungua unakuta wameandika System is running for selection wakati walikua wameshatoa matokea, mchezo walioufanya ni kwamba walipoclose website wakaanza mazungumzo na TCU wakakaziwa GPA ya 3.5 sio ile yao ya 2.7 then wakacheza mchezo wa ku act bado wanafanya selection, na hata sasahiv wamefungua system watu wa apply hata yule aliekua ameapply mwanzo akitaka ku edit choice anaedit badae wakifunga ndo wanatoa selection ila watakao toa sio NACTE ni TCU na kwa GPA ya 3.7 hivyo NACTE walicheza ka mchezo halafu wamepotezea kama hakikutokea kitu
Nikweli ilikua hivyo, hapo kati kati kuna kitu kimefanyika japo NACTE hawajataka kukizungumzia, kifupi nikwamba about 22jully walitoa selection za watu wa bachelor na wakasema kama hutaona umechaguliwa abgalia kwenye profile wameweka na sababu hadi wakatoa na link ukiifungua unakuta sababu, kwa watu waliokua wamechagua course zisizo endana na sifa zake aliyonayo mfano mtu ana diploma ya IT Akaaply kwa Account or Finance kwenye sababu walitoa not eligible then wanaweka na sababu then wanakwambia futa machaguo, kuna wengine matokeo yao ya form four yalikua mabaya i mean hakua na zile D Angalau Nne wanazotaka nao pia waliambiwa, but ghafla around 24th profile zikagoma kufunguka hata kama ukifanikiwa kuingia ile icon ya futa machaguo haikuwepo tena, hapo ndio TCU walikuja na GPA yao ya 3.5 wakati nacte walidahili watu kwa 2.7 afu wakawa wametoa na matokeo ikabid waclose website ili wafanye mazungumzo baada ya siku chache website ilikua open ila ukifungua unakuta wameandika System is running for selection wakati walikua wameshatoa matokea, mchezo walioufanya ni kwamba walipoclose website wakaanza mazungumzo na TCU wakakaziwa GPA ya 3.5 sio ile yao ya 2.7 then wakacheza mchezo wa ku act bado wanafanya selection, na hata sasahiv wamefungua system watu wa apply hata yule aliekua ameapply mwanzo akitaka ku edit choice anaedit badae wakifunga ndo wanatoa selection ila watakao toa sio NACTE ni TCU na