hicho kiyunguu kiko wapi? maana kuna wafanyabiashara wa Kenya wanaokuja kununua vitunguu Tz, na kama unataka kusafirisha mwenyewe...inabidi uwe vizuri kipesa...na uwe na mru unayewasiliana nae (Dalali/ au trader) huko Nairobi..othewise itakusumbua..kwa msaada zaidi tuwasiliane au wacheki jamaa wa Farm Concern International..