Habarini za majukumu Nina shida na Power bank Kama hii huwa zina 2600mah ..mwanzoni nilipata ilikuja na simu ya mtu itel zamani sana..je kwa Sasa naweza pata? Niko arushaView attachment 2263391
Agiza Nairobi zimejaa.
Nenda Mezaruna zinapopaki shuttle..karibu na Impala au 40x40 lounge, bonga na madereva watakuletea ndani ya siku 2 unayo mkononi