Riccristin
JF-Expert Member
- Nov 30, 2011
- 350
- 51
simu gani nzuri kwa matumizi ya internet?
Blackberry chagua yenye 3G!!!
Sony ericsson xperia mini inaweza ikawa bei gani kwa hapa bongo..Simu karibia yoyote inayotumia Android OS, Samsung Galaxy S2, Motorola DEFY,HTC Sensation, Moto RAZR XT910, Sony Experia zote, ZTE Blade, Huawei Ideos.. unachoagua kulingana na mfuko wako.
Kaka usiangaike na Blackberry ambazo mpaka ununue BIS za 20,000-36,000 ndio upate internet nunua android chagua hapo juu na kuna zaidi ina the best webbrowser zenye html5 na flash support ...na speed za kufa mtu *inategemea na mtandao
asante sana kaka..kaka usiangaike na blackberry ambazo mpaka ununue bis za 20,000-36,000 ndio upate internet nunua android chagua hapo juu na kuna zaidi ina the best webbrowser zenye html5 na flash support ...na speed za kufa mtu *inategemea na mtandao
Mkuu swali lako lipo general sana, inabidi uli kokotoe iliupate ushauri sahihi maana kwa kawaida mara nyingi simu zote za kisasa na za bei mbaya zipo vizuri sana kwenye mambo ya net, usishangae watu wanakutajia masimu ya milioni na ushee wakati bajeti yako ni laki 2,simu gani nzuri kwa matumizi ya internet?
BIS ni nzuri coz yeye amespecify kwamba yeye ni mtumiaji mzuri sana wa internet so natarajia yeye atakua karibia masaa 18 atakua anatumia net,kwa kikawaida ukiweka 3G na ukawatch youtube video hyo hela yake si mchezo,lkn ukiwa na bis ya buku30 unaweza ukaangalia hata video elfu moja bila tatizo!! Gharama za kutumia net kwenye simu nyingine ni kubwa sana unless uwe unaingia fb na jf tu!
Ni nzuri lakini gharama sana..Apple iPhone 4S ,,,,,
Kwa kipato cha mtanzania, cmu nzuri kwa internet ni nokia 2700c
nahitaji smartphoneKwa kipato cha mtanzania, cmu nzuri kwa internet ni nokia 2700c
Mkuu swali lako lipo general sana, inabidi uli kokotoe iliupate ushauri sahihi maana kwa kawaida mara nyingi simu zote za kisasa na za bei mbaya zipo vizuri sana kwenye mambo ya net, usishangae watu wanakutajia masimu ya milioni na ushee wakati bajeti yako ni laki 2,
Taja bajeti yako inachezea wapi kisha wadau watakupa aina nzuri ya simu kulingana na mfuko wako, unless otherwise bei kwako sio tatizo............
Okey fine bajeti yangu ni laki tano...
hii mkuu cheza nayo mbali zinamatatizo ya battery/charging system.Msaada wa bei katika simu hizi
motorola defy
Sony ericsson xperia mini
htc wildfire S..
hii mkuu cheza nayo mbali zinamatatizo ya battery/charging system.