msaada plz

msaada plz

Kaka kama simu ni kambi, mi nipo kambi ya nokia na smartphone ya nokia ambayo ni bei rahisi na ina specification nzuri ni nokia 701
nokia-701.jpg

1)Camera ni megapixel 8
2)Speed ya processor ni 1 ghz uki update 1.3ghz
3)Ram yake 512
4)Memory ya simu ni 8gb na ina uwezo wa kuchukua memory card ya 32gb

Inatumia symbian belle

Bei yake ni dola 284 nafkiri tuki iconvert kwa tz sh itakuja laki nne na kitu (haitafika laki 5)

Achana na overpriced shit

Asante nimeipenda hii..
 
BIS ni nzuri coz yeye amespecify kwamba yeye ni mtumiaji mzuri sana wa internet so natarajia yeye atakua karibia masaa 18 atakua anatumia net,kwa kikawaida ukiweka 3G na ukawatch youtube video hyo hela yake si mchezo,lkn ukiwa na bis ya buku30 unaweza ukaangalia hata video elfu moja bila tatizo!! Gharama za kutumia net kwenye simu nyingine ni kubwa sana unless uwe unaingia fb na jf tu!

itabidi akae nayo kwenye chaji
 
Back
Top Bottom