Msaada plz.

Msaada plz.

texaz mc

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2016
Posts
371
Reaction score
205
Habari zenu, bila shaka mpo vyema. Shida yngu ni kwamba jina langu lililosajiliwa 4m4 limekosewa sasa walimu wamesema haiwezekani kubadilisha labda mpaka niende kuapa mahakamani, sasa naogopa kuliacha lilivyo lisije kunisumbua kwa mambo yajayo. msaada wa kufanya tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kaape wakubadilishie ss ambao tumeajiliwa wengi inawasumbua
 
Back
Top Bottom