Msaada plz:Tatizo kwenye AdSense account yangu

Msaada plz:Tatizo kwenye AdSense account yangu

NISAMEHE KWA KUCHELEWA KUTOA MTAZOMO WANGU NA POLE KWA TATIZO MKUU............
Sijuti kagusia sehemu muhimu kabisa mkuu ni vyema ukawa na theme ambayo ni responsive na bila kusahau unapaswa kuweka code za matangazo ambazo sio fixed in size yani ambazo zitakuwa responsiv kwa kifaa chochote.
Ila cha muhimu kabisaa ni kuhusu hizi blogs zako ulizo nitumia PM hazija kamilika katika swala la design.....kwa nini nasema hivyo,blogs zako zote hazina pages zina front page (home page) peke yake na ndo nyenye matangazo ya adsense,hivyo basi visitor akiingia atapata kuona matangazo kwenye front page na kwenye post husika "maana kuna matangazo nimeona umeeka katikati ya post ila si zote" lazima impression italingana na watembeleaji wanaoona matangazo front page ila haito endanana na pageviews za huyo visitor maana akisha ondoka kwenye front page kwenda kwenye pages za ndani hauna matangazo huko ambayo yata count pageviews........
Kwa kifupi huwez kuwa na pageviews za adsense zinazo endana na blog analytics kama huna page zenyewe au huna matangazo kwenye hizo page.
Kwa upande wako wewe huna vyote..........yani huna pages wala matangazo kwenye hizo pages.....una matangazo kwenye front page tyu.

NB;swala la theme ambayo ni responsive na ad unit ambazo ni responsive ni muhimu.

mfano;desktop view
View attachment 728334

mfano;mobile view
View attachment 728335

link ya blog....Medicalneeds360


BEST OF LUCK.........
mkuu labda cjakuelewa kwenye hilo suala la pages au sina uelewa nalo lakini kwa upande wangu mm matangazo ya katikati ya post nimeshawekaga kwenye template and am sure yanaonekana kwenye kila post.....may be kuna vitu cviewi
 
Hello! Poleni na majukumu ya kila leo,naomba kujua mie sijajua tangia nimeadd adsense katika akaunti yangu ya youtube sijaanza kupata malipo inakuwaje???
 
Hello! Poleni na majukumu ya kila leo,naomba kujua mie sijajua tangia nimeadd adsense katika akaunti yangu ya youtube sijaanza kupata malipo inakuwaje??? Msaada tafadhali
Screenshot_2018-04-25-14-29-05.jpg
Screenshot_2018-04-25-14-28-15.jpg
 
Joram Dymisster kuna tatizo la blog yangu kuhusu pageviews kuwa tofauti sana kwenye blogger na kwenye adsense account hadi nlianzisha thread lakini sikupata jawabu.
Je unajua mbinu za kuifanya blog I perform vizuri kwenye mobile phone?98 % of my viewer wangu wanatoka kwenye smartphone.
Leo nimejaribu kubadili Template lakini bado problem ikawa vilevile,viewers wamefika 1800 kwenye blogger AdSense pageview wako 167 ila impression iko 2179.
Nikasoma tena nikaona mambo http na https.
Mpaka sasa nahaha kutafuta solutions.
REFER:
Compare pageview from blog,then pageview zilizomo AdSense.
Impression zilizoko na Earning.
TATIZO NINI HAPO?View attachment 724285View attachment 724286View attachment 724287
MKUU VIPI ULIFANIKIWA KULISOLVE TATIZO?
 
Back
Top Bottom