Msaada plz:Tatizo kwenye AdSense account yangu

Msaada plz:Tatizo kwenye AdSense account yangu

Sam Jr official

Senior Member
Joined
Dec 21, 2017
Posts
119
Reaction score
107
Joram Dymisster kuna tatizo la blog yangu kuhusu pageviews kuwa tofauti sana kwenye blogger na kwenye adsense account hadi nlianzisha thread lakini sikupata jawabu.
Je unajua mbinu za kuifanya blog I perform vizuri kwenye mobile phone?98 % of my viewer wangu wanatoka kwenye smartphone.
Leo nimejaribu kubadili Template lakini bado problem ikawa vilevile,viewers wamefika 1800 kwenye blogger AdSense pageview wako 167 ila impression iko 2179.
Nikasoma tena nikaona mambo http na https.
Mpaka sasa nahaha kutafuta solutions.
REFER:
Compare pageview from blog,then pageview zilizomo AdSense.
Impression zilizoko na Earning.
TATIZO NINI HAPO?
IMG_20180324_174241.jpg
IMG_20180324_174407.jpg
IMG_20180324_174414.jpg
 
Mkuu samahani naomba nikusahihishe je dhumuni ya hii thread ni kumuuliza joram Dymisster peke yake au kama ni hivyo ni vizuri ungemcheki private inbox kama dhumuni lako kuuliza mablogger wote umefeli hapo mwanzo coz kuna wengine hawatochangia mawazo kutokana na kumdirect mtu mmoja.
[emoji123][emoji123][emoji123]
 
Hiyo nlitaka kumuuliza inbox kwasababu nilishawahi anzisha thread ya hichi kitu na ckupata majibu
 
Mtoa mada kama unatumia blogger nenda kwenye Theme halafu Mobile halafu chagua Disable (hakikisha template yako ni responsive) ukifanya hivyo itadisplay matangazo yote inayodisplay kwa users wa PC hivyo impression zitakuwa nyingi zaidi ya page viewers.
 
mkuu Sijuti fafanua vizuri ni disable kwenye pc au mobile?

inaoneka hivi

Theme › Choose mobile theme
On mobile devices, show a mobile version of your current theme.

Yes. Show mobile theme on mobile devices.
No. Show desktop theme on mobile devices.
 
Kwa CPM yako sio mbaya ,ila jitahidi kuweka content ambazo ni original(ulizotengeneza mwenyewe) au kama ni za kukopi jaribu kubadilisha kidogo usiweke kama zilivyo ,pia jaribu kushare sana kwenye social medias kama ukikwama nicheki 0687 535650 nitakusaidia .
 
NISAIDIEE KWANZA MIMI NIKUPE LINK YA AFYA THEN NIKUCHECK INBOX
 
Joram Dymisster kuna tatizo la blog yangu kuhusu pageviews kuwa tofauti sana kwenye blogger na kwenye adsense account hadi nlianzisha thread lakini sikupata jawabu.
Je unajua mbinu za kuifanya blog I perform vizuri kwenye mobile phone?98 % of my viewer wangu wanatoka kwenye smartphone.
Leo nimejaribu kubadili Template lakini bado problem ikawa vilevile,viewers wamefika 1800 kwenye blogger AdSense pageview wako 167 ila impression iko 2179.
Nikasoma tena nikaona mambo http na https.
Mpaka sasa nahaha kutafuta solutions.
REFER:
Compare pageview from blog,then pageview zilizomo AdSense.
Impression zilizoko na Earning.
TATIZO NINI HAPO?View attachment 724285View attachment 724286View attachment 724287

NISAMEHE KWA KUCHELEWA KUTOA MTAZOMO WANGU NA POLE KWA TATIZO MKUU............
Sijuti kagusia sehemu muhimu kabisa mkuu ni vyema ukawa na theme ambayo ni responsive na bila kusahau unapaswa kuweka code za matangazo ambazo sio fixed in size yani ambazo zitakuwa responsiv kwa kifaa chochote.
Ila cha muhimu kabisaa ni kuhusu hizi blogs zako ulizo nitumia PM hazija kamilika katika swala la design.....kwa nini nasema hivyo,blogs zako zote hazina pages zina front page (home page) peke yake na ndo nyenye matangazo ya adsense,hivyo basi visitor akiingia atapata kuona matangazo kwenye front page na kwenye post husika "maana kuna matangazo nimeona umeeka katikati ya post ila si zote" lazima impression italingana na watembeleaji wanaoona matangazo front page ila haito endanana na pageviews za huyo visitor maana akisha ondoka kwenye front page kwenda kwenye pages za ndani hauna matangazo huko ambayo yata count pageviews........
Kwa kifupi huwez kuwa na pageviews za adsense zinazo endana na blog analytics kama huna page zenyewe au huna matangazo kwenye hizo page.
Kwa upande wako wewe huna vyote..........yani huna pages wala matangazo kwenye hizo pages.....una matangazo kwenye front page tyu.

NB;swala la theme ambayo ni responsive na ad unit ambazo ni responsive ni muhimu.

mfano;desktop view
upload_2018-3-28_21-34-15.png

mfano;mobile view
upload_2018-3-28_21-37-0.png

link ya blog....Medicalneeds360

BEST OF LUCK.........
 
Mtoa mada kama unatumia blogger nenda kwenye Theme halafu Mobile halafu chagua Disable (hakikisha template yako ni responsive) ukifanya hivyo itadisplay matangazo yote inayodisplay kwa users wa PC hivyo impression zitakuwa nyingi zaidi ya page viewers.
ku disable nn?kama ni kudisable mobile view hiyo kitu nishafanyaga toka naanzisha blog
 
Back
Top Bottom