Msaada plse... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada plse...

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by The Boss, Feb 25, 2010.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,852
  Likes Received: 22,943
  Trophy Points: 280
  Kuna information nazitafuta kwenye mitandao.....
  sizipati,kama kuna mtu anajua ni mitandao ipi
  naweza kuzipata naomba msaada tafadhali....

  kwanza nahitaji info kuhusu biashara ya mafuta ya kupikia
  kwa Tanzania,Kenya na Uganda.
  --ukubwa wa soko(market cap)
  --ni kampuni gani zina dominate
  --ukubwa wa soko wa miji mikubwa
  Dar,Nairobi,Kampala...
  --Kwa kiwango gani local productions
  ina shika soko kulinganisha na imports??
  na kwa ujumla ni biashara ya thamani gani kwa mwaka.???

  mwenye kujua anisaidie.....
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,640
  Likes Received: 625
  Trophy Points: 280
  Kila nikijaribu kuangalia yellow page ya Tanzania kwanza siielewi ..inakuwa ngumu kwangu kutoa jibu
  nilikuwa natafuta information fulani sikupata
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,852
  Likes Received: 22,943
  Trophy Points: 280
  first lady
  sijui kama tumeelewana.
  mimi nahitaji zaidi website zenye info hizo,
  sio yellow page.
   
 4. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #4
  Feb 25, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,292
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  KWA UZOEFU WANGU MDOGO!biashara unayoiplan kuna huyu murzar-oil,na bakhressa,na METL wanafanya.pia wamefika hadi sudan na central africa sasa.we tafuta mtu wa marketing (au yoyote anaeweza ku-penetrate huko) akakusaidie kuchunguza what is happening.

  lakini ni vigumu sana kushindana na hawa wa-asia
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Feb 25, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,852
  Likes Received: 22,943
  Trophy Points: 280

  nashukuru mkuu..
  najua hawa watu wanahusika
  tatizo hata hawa wana import,hwazalishi wenyewe..
  nahitaji info pia kuhusu hawa,ni nani anaeshikilia soko
  kwa kiwango gani?(which percentage)?
   
 6. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #6
  Feb 25, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,292
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  kwa sasa,ninaona kama METL ameshika sana soko la nje,wakati MURZAL OIL amekamata soko la ndani.....!percentagewise SINA BASES ZOZOTE KWAKWELI.

  kuna kiwanda kingine ARUSHA wanatengeneza mafuta yanaitwa SUNFLOWER.hawa nao wamejipatia umaarufu kwa mafuta yao ya alizeti.

  USHAURI;kama unaweza tengeneza mafuta ya alizeti.utakamata wengi sana.
   
 7. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #7
  Feb 25, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,973
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 145
  Kwa soko la mafuta ya kupikia Murza-Oil yupo juu amekamata soko la Congo,Zambia,Malawi, Zimbabwe mpaka Botswana na Kaskazini mwa mipaka ya Tanzania. Huyu ndo mwenye Korie yupo juu sana hata yale mafuta ya Alizeti anatengeneza huyu huyu kwa mafuta bora ya Murza-Oil ni mazuri kuliko ya METL na ndo yenye soko zaidi.
   
 8. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #8
  Feb 25, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,292
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  MARKETING MANAGER WA MURZ-OIL tumeshampata!....:D:D

  haya the-boss,kazi kwako
   
 9. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #9
  Feb 25, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,935
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Sikukatishi tamaa lakini ukweli ni kwamba kama unataka hizi information kwa usahihi wake ni ngumu sana kuzipata kwenye mtandao/internet.Watz bado hatujui kutunza takwimu vizuri na kwenye internet ndio kabisaaaa bado sana hii teknolojia.
  kama unafanya reseacrh academic au business mie naona lazima uende kwenye taasisi inayohusiana na vitu unavotaka.
  kwa kuanzia nenda Wizara ya viwanda na biashara halafu uende Brela wanaosajili makampuni huko utapata list unayoitaka tehn utawafuatilia moja baada ya nyingine.
  kwa kupanua zaidi wigo afrika mashariki itabidi uende EAC na kuulizia kitengo cha biashara.
   
 10. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #10
  Feb 25, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,973
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 145
  Akitaka mzigo mwingi kama truck 20 anione maana kupata mali ya Murza-oil ni shuhuli wanahudumiwa kwanza wanao fahamika kama sabuni zile za Puff watu huwa wanagombaniana kuzipata ni shughuli pevu.
   
 11. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #11
  Feb 25, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,840
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  mimi navyoona kama unataka kufanya biashara hii kama alivyosema Geof hapo juu jikite zaidi kwenye mafuta ya alizeti utafanikiwa maana yanakuja juu sana due to low cholesterol. Kule Singida yanauzwa bei rahisi sana lakini soko hawana. ukiweza kujiestablish hiyo itakutoa mtu wangu.
   
 12. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #12
  Feb 25, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,852
  Likes Received: 22,943
  Trophy Points: 280
  mkuu...
  naona ntakutafuta kwa more infos...
  kuna vitu vingi nahitaji kuvijua.
   
 13. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #13
  Feb 25, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,468
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  carmel Singida mjini au Wilayani?
   
 14. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #14
  Feb 25, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,840
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  singida mjini yapo ila ni a bit expensive. kule kiomboi lita ishirini ni elfu kama 20 i think.
   
 15. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #15
  Feb 26, 2010
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 970
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  kuna makampuni makubwa kenya BIDCO inaongoza wanatarajia kufungua kiwand akikubwa saana Uganda walipewa kisiwa kinaitwa kalangala kwa ajili ya kulima palm nadhani production itaanza this year,angalia tena KAPA OIL NI wakenya ni kampuni kuwa tena saana, Kwa UGANDA kampuni kuwa inaitwa MUKWANO nadhani hata hapo dar wanakiwanda
  wnazalisha mafuta kwa wingi saana,

  Kwa tz nadhani umehspata
  all the best brother
   
 16. safariwafungo

  safariwafungo Senior Member

  #16
  Feb 26, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 136
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Mkuu pole na majukumu.
  Kimsingi kupata info kama hizo katika net hasa kuhusu bongo ni kazi sana ila unaweza kupitia economic report za world bank, BOT, kitengo cha uwekezaji ama any chanzo kitoacho report hizo.
  Ila kwa urahisi ni kwenda Bureau of Statistics pale posta hapo wana kila kitu unachohitaji. Ili nivyema nikakupa tahadhari kuwa info nyingine huwa classified si zote ni rahis kuzipata kwani nyingine sio public document, sasa akili mkichwa nenda then utatupa mrejesho.
  wishing you all da best!
   
 17. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #17
  Feb 26, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 368
  Trophy Points: 180
  Mukwano yes; wahindi hawa nafikiri walinunua kile kiwanda cha Boby soap cha marehemu Shabiki maarufu wa Yanga!
   
 18. m

  majogajo JF-Expert Member

  #18
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hata google wameshindwa?
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...