kwa silver,chukua plain paper nyeupe,then jaribu kuisugua kwenye hiyo karatasi,itaandika muandiko mithili ya penseli,ukitaka kujua kama ni silver ukiandika juu ya ulichokiandika kabla haita-overwrite,kama ikiandika juu ya hicho ulichoandika basi siyo silver......another way ni kuitumbukiza kwenye sulphuric acid isiyo very concentrated,kama ni silver ukweli baada ya kuitumbukiza kwa dakika chache itachemka kdg then itatulia na itakua inang'aa,kama ni mdosho itachemka tu na baada ya kuitoa itakua imepauka,,,,huu ndio ujuzi wangu,maoni mengine?