Msaada pls | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada pls

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Perry, Jun 17, 2011.

 1. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Hello jf!naomba kufahamishwa alipo basil pesambili mramba na anafanya nin kwa sasa,huyu jamaa aliwah kutamka hadhari eti ni bora watanzania wale majani lakini ndege ya raisi ni lazma inunuliwe!mwaka jana,akakumbana na nguvu ya umma huko jimbon kwake rombo...tangu hapo cjamsikia tena...yeyote mwenye taarifa zake naomba anijuze pls..
   
Loading...