Msaada pls: PC kustuck unapoconnect modem

Kitaeleweka

JF-Expert Member
Jul 30, 2012
393
195
Habari
Natumia hp G62 laptop na huawei E173 modem mtandao wa airtel shida ni kila nikiconnect hiyo modem ndo kustuck kunaanza, ikiwa disconnected hamna shida kabisa. Naomba ushauri wa utatuzi wa jambo hili. Thanx in advance
 

snipa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
4,134
2,000
Habari
Natumia hp G62 laptop na huawei E173 modem mtandao wa airtel shida ni kila nikiconnect hiyo modem ndo kustuck kunaanza, ikiwa disconnected hamna shida kabisa. Naomba ushauri wa utatuzi wa jambo hili. Thanx in advance

angalia kama kuna background apps zina ji UPDATE
 

snipa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
4,134
2,000
Hapo mtihani mkuu. Nazionaje hizo pprograms? C++?

Tatizo linaweza kuwa hl,
.
Siku ya kwanza ulipo chomeka modem yako,
Modem drivers,
haziku be installed correctly,
.
Au your modem drivers are not compatible with your operating system,
.
Try to Remove your modem drivers!
.
Then install tena alafu chek inakuwaje
 

Iyokopokomayoko

JF-Expert Member
Sep 15, 2011
1,792
0
1. Uninstall modem software, nenda control pannel halafu add or remove programs, kisha iondoe
2. Restart machine halafu chomeka upya modem na uinstall upya,

kama bado itaendelea kugoma leta majibu. Je uliichakachua iwe inatumia line zote?
 

Kitaeleweka

JF-Expert Member
Jul 30, 2012
393
195
Sijaichakachua modem. Asanteni wakuu ntayafanyia kazi haya mliyonipa na nikifanikiwa ntaleta feedback how it went. Mungu awabariki.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom