Msaada pliz!

Msaada pliz!

Inside10

Platinum Member
Joined
May 20, 2011
Posts
34,776
Reaction score
42,926
wadau naomba msaada wenu mimi natumia simu aina ya nokia x2, na nimefanikiwa ku'download na ku'install operamini 6.5. Bt am not impressed rather i prefered to download ucbrowser na TATIZO NDIPO HAPO LINAPOTOKEA SIMU IKISHAANZA KUDOWNLOAD GHAFLA INAANDIKA
"SERVICES NOT AVAILABLE"
- hivyo wataalamu naomba msaada wenu nifanyeje, nategemea maujuzi kutoka kwenu.
 
wajamani mbona mna'view tu thread bila mchango
 
Kama simu yako ina app ya Nokia Store jaribu kuitafuta UC Browser katika menu ya application baada ya kufungua nokia store utaipata na itakua na features zinazoendana na simu yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom