msaada pliz! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada pliz!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mphilipino, Jan 7, 2011.

 1. M

  Mphilipino New Member

  #1
  Jan 7, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :disapointed:how can I solve the problem of bad sector,caz pc yangu ilikuwa na 60GB then 20GB only available
   
 2. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  hapo cjui itakuwaje chizi computer kazira jukwaa but najua wapo magreatthinker kibao humu subiri me simkali sana maeneo hayo
   
 3. redSilverDog

  redSilverDog JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 486
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  im not good in hardware, but if would throw a dumb idea.. try to defragment the disk.
   
 4. C

  CalvinPower JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2011
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 998
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 60
  uliwahi kufanya partition? maana sometime kama ulifanya partion na ukawa na partion mbili yaani ya 20 inamaana hiyo nyingine itakuwa 40. ok kama ni hivyo then ulipo install windows ( xp ) ili format 20gb kuwa drice C na hukuformat hiyo 40gb. hiyvo hiyo 40gb haitaonekana. kama ni hivi ulifanya we can proceed ila kama sio hivi ulifanya then weka maelezo sawa ili yaeleweke
   
 5. rancosys

  rancosys Member

  #5
  Jan 8, 2011
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JIBU SWALA LA CALVIPOWER... Then tutakusaidia zaid
   
 6. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2011
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Hili ndio jibu sahihi zaidi.
  Ili kujua kama aliyosema calvin ni kweli fanya yafuatayo.
  1. bofya START
  2. bofya kulia MY COMPUTER
  3. bofya MANAGE, litakuja dirisha la COMPUTER MANAGEMENT
  4. ktk dirisha la computer management, bofya DISK MANAGAMENT, utaziona PARTITIONS zilizopo katika pc yako ikiwemo na hiyo usiyoiona kwa sasa. Kama ukiiona hiyo partition, waulize wataalam nini cha kufanya ili uweze kuitumia.
  Nakutakia kila la heri, usisahau kutujuza kama utafanikiwa au la.


   
Loading...