sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,293
mkuu....yaani ilivyopiga mzinga tu ikazima yenyewe na ku de accelerate mpaka ikasimama....from there, haiwaki!! nimejaribu hivyo bila mafanikio....Inawezekana umelock Ukaingia antbulgrary mode. Press remote
shikilia for second then wash gari .
shukrani mkuu...kuna jamaa alipigiwa simu hapa from moro town ndo ameingia kacheza nayo imewaka sasa ndo tunaondoka ten,,but acceleration ishu bado ni vile vile....yaan it takes so loooong to accelerate!! anything wrong...
Tafuta mtu mwenye mwenye machine ya scaning aifanyie scaning ujuwe tatizo liko wapi. Usikubali fundi asie na kifaa hicho ataharibu vitu vingi zaidi. Na ukirudi mjini ufanye mpango uwe na scaning tool ya kwako. Magari ya kisasa si ya kutengeneza kwa kupiga malesi mkuu. Hiyo itakufanya kufahamu matatizo ya gari lako yote na kama umeweka mafuta machafu litasema na hadi tarehe lilipopata tatizo.
asanteni wakuu, ntafanyia kazi yote mliyonipa...ki ukweli mimi si mtaalam sana wa magari (this is the first car) but ntajitahid!! thanks guyz..