Msaada kuhusu ushuru wa range rover TRA

Msaada kuhusu ushuru wa range rover TRA

Bin Chuma

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2013
Posts
313
Reaction score
247
Naombeni msaada wa kujua gharama za bandari pamoja na ushuru wa mapato tra kuingiza gari aina ya range rover ya mwaka 1999. Nimeipata japan ila naogopa kuichukua sababu ya kutokuelewa gharama za kuiingiza nchini.
 
Tanzania Revenue Authority - Calculators & tools

Hapo utapata kujua habari za kodi za tra. gharama za usajili, kibao na bandari hazipo hapo japokuwa jumla yake haziwezi zidi 1m.

Tafuta aina ya gari lako alafu angalia thamani yake hapo hapo kwenye hiyo sheet yake kisha nenda kwenye sheet nyingine alafu kaiweke hiyo thamani mahali panapohusika bila kusahau juu ya hiyo sheet kuweka rate ya dola.

Maelezo yanaweza yakawa magumu ila naamini utaelewa tu ukisha download hiyo document.
 
Ahsante mkuu
 
Back
Top Bottom