Kayemba
JF-Expert Member
- Jul 5, 2013
- 221
- 175
Nina dell optiplex 745. Jana niliiwasha ikaanza kuboot, baada ya dakika moja fan speed ikaanza ongezeka, nikaizima, nikipowasha tena haikuwaka ila ina-blink mwanga wa kijani kwenye switch button.
Nimejaribu kuchange power supply bado tatizo lipo palepale.
Please any advice on what to do.
Nimejaribu kuchange power supply bado tatizo lipo palepale.
Please any advice on what to do.