Msaada please

Msaada please

Jeho

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
5,069
Reaction score
5,556
Kuna swali linalonisumbua sana kama kuna mtu anayejua anisaidie.
Ni kwa nini wakati wa kushiriki tendo takatifu la ndoa, sehemu iliyo safi hulazimika kutumia kinga wakati sehemu chafu(mdomoni) hakuna kinga yoyote inayotumiwa?
 
Kumbe wewe ni kati ya 50% wanaonuka mdomo?
Anyway, chafu na haramu tamu zaidi!
 
kwahiyo unataka kuwepo na con dom za mdomo? Nalog off
 
Kwa Mwigeka, anachoma sana mbuzi, ila tatizo lake wateja wakiwa wengi anachanganya na nyama ya mbwa kidogo.
 
Back
Top Bottom