joseph johaness
Member
- Jul 31, 2017
- 37
- 15
Habari wana jf bila shaka mu wazima Mimi ni kijana wa kitanzania nimekua nikihangaika kutafuta kazi kwa mda mrefu sana kikubwa kimenileta hapa ni kukuomba wewe ndugu kama utaweza nisaidia tatizo hili.
Elimu yangu: Certificate of tourism and tour guiding,
Na nilishawahi kufanya kazi kama bellboy katika hotel ya kunduchi beach hotel na mayfair hotel na pia nimefanya kazi kama team member wa pizza hut....Je mnaweza kunisaidia hata ukinipatia emails za makampuni yoyote au connection zozote za ajira ambazo nitafiti kutokana na qualifications zangu tafadhali.
Waweza nisaidia na kuwasiliana nami kupitia email yangu: josephkassero5@gmail.com
ASANTENI.