Msaada please.

Msaada please.

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,522
Reaction score
14,005
Heshima kwenu!
Naomba kujua nini cha kufanya laptop yangu Lenovo S300 inakataa kutype baadhi ya herufi A, S, D, F, G, H, J, K na L.Herufi nyingine natype bila shida yeyote.
Kwa anayejua namna ya kumaliza hili tatizo, naomba msaada.
Asante.
 
Kanunue keyboard wakubadilishie mkuu , yaani spring za hizo buttons zimelegea.

Kwa uhakika zaidi hebu nenda kwa mafundi wa laptops (both softwares and hardwares)
 
Inaweza kua imeingia mchanga kwenye hizo batani za keyboard.

iinue upside down uwe kama unaitikisa kama ni mchanga haujajibana sana utatoka. Ukifanya hivyo ikagoma basi peleka kwa fundi afungue akusafishie hiyo keyboard.
 
Hapo sasa inatakiwa elimu kweli si unajua kabisa key pad ndiyo tatizo nenda kwa fundi arekebishe hilo.
 
Back
Top Bottom