Pole kwa hilo. Jaribu kutumia PDF reader nyingine kama vile Nitro PDF. Kama bado inakugomea, just mwambie aliekutumia atume tena fresh copy. It will save you a long time and hussle.
Pole kwa hilo. Jaribu kutumia PDF reader nyingine kama vile Nitro PDF. Kama bado inakugomea, just mwambie aliekutumia atume tena fresh copy. It will save you a long time and hussle.
Bwana Eye naona haya mambo unayajua maaa nime-forward hiyo doc kwenda kwenye lap top imefungua. Inaonekana PDF ya kwenye desk top imeharibika. Again desk top hii nikiweka moderm zaidi ya moja kwenye port zake (nne) , ile ya internet inakata haisomi, pia ya printer haisomi ( therefore no printing). Nikiondoa ya printer, internet inasoma. Muda mwingine computer inakataa kuitambua cable ya printer, Tatizo ni nini please